

2024 · Toyota
Toyota Land Cruiser 300
2024 · 17,000 km
TSh 265,000,000
- 17,000 km
- Petroli
- Automatic
- 3,500 cc

Mwenge Mpakani · Dar es Salaam
Showroom ya magari ya kifahari.
Kila gari.kama jipya.
Showroom · Mwenge MpakaniHuduma zetu
Magari ya kifahari yaliyopo kwenye showroom yetu Mwenge Mpakani, bei wazi kwa TZS.
Gari kwa siku zako. Kila gari na bei yake kwa siku; tunathibitisha tarehe na bei.
Tunanunua magari ya aina zote, na tunafanya exchange. Tutumie taarifa na picha.
01 / Showroom
02 / Aina za magari
03 / Hatua
Tazama magari yaliyopo kwenye showroom yetu, kwa picha za pande zote na specs kamili.
Tuandikie WhatsApp au piga simu. Tutakujibu maswali yako yote kuhusu gari.
Tembelea showroom yetu Mwenge Mpakani uone gari kwa macho yako.
Mkikubaliana, tunakamilisha malipo na nyaraka, kisha unapokea gari lako.
04 / Agiza Gari
Tuambie gari unalotafuta (aina, mwaka, bajeti) nasi tutakutafutia.
Agiza kupitia WhatsApp05 / Tembelea
Showroom yetu iko Mwenge Mpakani, Dar es Salaam.
Mwenge Mpakani, Dar es Salaam, Tanzania
Jumatatu – Jumamosi: saa 24 · Jumapili: tumefungwa