01 / Kuhusu
Showroom ya magari, Mwenge Mpakani.
MAGARI CHAP CHAP ni showroom ya magari iliyopo Mwenge Mpakani, Dar es Salaam. Tunauza magari yaliyochaguliwa kwa umakini, na tunaweza kukutafutia gari usilolipata kwenye showroom yetu.
02 / Tunachofanya
Tunachofanya
- 01
Showroom
Magari yaliyopo yanaonyeshwa hapa kwa picha za pande zote, specs kamili na bei kwa TZS.
- 02
Agiza Gari
Hujaona unalotaka? Tuambie gari, mwaka na bajeti — tutakutafutia.
- 03
Mawasiliano ya haraka
Tuandikie WhatsApp, piga simu, au tumia fomu. Tunajibu maswali yako yote kuhusu gari.
03 / Hatua
Kutoka showroom hadi barabarani.
- 01
Chagua gari
Tazama magari yaliyopo kwenye showroom yetu, kwa picha za pande zote na specs kamili.
- 02
Ongea nasi
Tuandikie WhatsApp au piga simu. Tutakujibu maswali yako yote kuhusu gari.
- 03
Kagua & test drive
Tembelea showroom yetu Mwenge Mpakani uone gari kwa macho yako.
- 04
Lipa & pokea
Mkikubaliana, tunakamilisha malipo na nyaraka, kisha unapokea gari lako.