01 / Uza au badilisha gari
Uza gari lako kwetu.
Tunanunua magari ya aina zote, na tunafanya exchange. Tutumie taarifa na picha za gari lako, tutalikagua na kukupa ofa kulingana na hali yake.
- 01
Tuma taarifa na picha
Jaza fomu hii kwa dakika chache, pamoja na picha za gari.
- 02
Tunalikagua gari
Tutawasiliana nawe kupanga siku ya ukaguzi.
- 03
Tunakupa ofa
Ofa yetu inategemea hali halisi ya gari baada ya ukaguzi.